Isaiah 20:5-6

5 aWale waliotegemea Kushi na kujivunia Misri wataogopa na kuaibika. 6 bKatika siku ile watu wanaoishi katika pwani hii watasema, ‘Tazama lililowapata wale tuliowategemea, wale tuliowakimbilia kwa msaada na wokovu kutoka mikononi mwa mfalme wa Ashuru! Tutawezaje basi kupona?’ ”

Copyright information for SwhNEN